The Tanzanian government issued Circular 5 which implements the Education and Training Policy 2014 ensuring that secondary education is free for all children (primary level to ordinary secondary level). This includes the removal of all forms of fees and contributions.

However, whilst most fees are covered, including exam fees, some indirect costs will still remain for example: for school uniforms and learning materials such in general.

There are most vulnerable children that fails to access even the basic amenities necessary for attending school, in view of the above challenges Ekama Development foundation in collaboration with other stakeholders Ekama have enacted sponsorship policy to raise funds for the children in need.

Hence Ekama welcomes all willing organizations/institutions and individuals to support by donating any amount/ material staffs:

Serikali kupitia waraka wa elimu Namba 5 wa mwaka 2014, imeamua kutoa Elimumsingi (kuanzia Elimu ya Awali hadi Kidato cha Nne) bila malipo. Azma hii ya serikali ni sehemu ya utekelezaji wa sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ambayoina lengo la kuhakikisha kwamba watoto wote wa kitanzania wenye rika lengwa la Elimumsingi wanapata elimu bila kikwazo chochote ikiwemo ada au michango.
Ingawa serikali imeamua kutoa elimu bure kwa wanafunzi, kuna gharama ambazo bado Mzazi/Mlezi anapaswa kugharamia ili mtoto aweze kuhudhuria shule mfano; kununua sare na vifaa vya shule kwa ujumla.
Kutokana na utafiti uliofanywa na EKAMA Development Foundation manispaa ya Temeke mwaka 2014, wazazi wa watoto wanakutana na changamoto nyingi za kuweza kusomesha watoto wao kutokana na kipato duni wengi wameshindwa kuwapa watoto wao mahitaji ya muhimu ya shule, ikiwemo madaftari, sare za shule, vifaa vya shule na vitabu. Pamoja na jitihada za Serikali za kupunguza michango ya shule, wazazi hawa bado wameshindwa kupata fedha za kuwawezesha kupata mahitaji haya.
Hivyo Ekama inawakalibish wadau wote kuchangia kwa kiasi ama nyenzo za kusaidia mhitaji ya mtoto

Donate here/ Changia hapa

$0 of $15,000 raised
$
Select Payment Method
Personal Info

In order to make an offline donation we ask that you please follow these instructions:

  1. Make a check payable to "Ekama Development"
  2. On the memo line of the check, please indicate that the donation is for "Ekama Development"
  3. Please mail your check to:

Ekama Development
P.O.Box 96278
Police Mabatini RD, Plot NO. 364.
Kijitonyama, Dar es Salaam

All contributions will be gratefully acknowledged.

Donation Total: $10.00