• +123-456-7890
  • info@example.com
  • Tyagal, Patan, Lalitpur
CASE STORY UNYANYASI WA MTOTO WA KIKE

CASE STORY UNYANYASI WA MTOTO WA KIKE

Majina yaliyotumika katika kisa hiki ni ya kubuni, ili kuficha usiri wa walengwa.Familia moja iliyokua na mzazi mmoja ambae ni baba (mzee Kavuma miaka 56) na mabintiwawili, mmoja alikuwa ni mtoto wake aliezaa na marehemu mke wake aliefahamika kwa jina laNzela (jina la kubuni13) na mwingine alikua mtoto wa marehemu dada yake (mpwa wake)aliefahamika kwa jina la Dallah (jina la…